Ijue ARCUYO
Arts and Culture for Youths Organization (ARCUYO)
ni asasi isiyokuwa ya kiserikali (NGO)
ambayo ilianzishwa chini ya sheria ya kanuni ya NGO No.24 ya mwaka 2002
ikiwa chini ya wizara ya maendeleo ya jamii jinsia na watoto mnamo
tarehe 03/062014 na kupata usajili Na. 00NGO/00007143.
ARCUYO inashungulika na vijana katika
vishawishi wa kujikita na kudumisha sanaa na utamaduni ili kupitia
ubunifu, vipaji, na vipawa vyao viwape fursa nahatimaye viwasaidie
kujikimu kimaisha na kuwa na uwezo wa kukabiriana
na changamoto zinazo
wakabili.Matazamio yetu ni kuona vijana wa kitanzania wanajikwamua kiuchumi, kifikra,kiafya na kielimu. Mkakati wetu kama ARCUYO ni kuhakikisha mazingira mazuri ya kiuchumi na kijamii kwa vijana yanatimizwa kama yalivyo pangwa. Wasiliana na Arts and Culture for Youths Organization.
(ARCUYO ) S.l.p 10777 Mwanza - Tanzania.Barua pepe: arcuyo2014@gmail.com Simu: +255 (0) 767 122910/ 752 512088/ 759 543919/ 658 23140
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni