Picha na matukio!

Hii ni sehemu ya madhari ya jiji la Mwanza lenye milima ya mawe

NGUO ZA ASILI NA UREMBO WINGINE KWA BAADHI YA NCHI ZA AFRIKA!

 MAASAI/TANZANIA/KENYA
 ZULU/AFRIKA YA KUSINI
 ETHIOPIA
UGANDA
Nimependezwa/napendezwa kuona baadhi ya nchi na makabia wanaendeleza mavazi yetu ya asili....Ngoja nami nitafuta vazi la asili la kingoni:-)

ARCUYO kwa kushirikiana na Hekima City Academy kwa pamoja ukuza vipaji vya vijana katika vyanja za michezo katika jiji la Mwanza.Picha juu wachezaji wa timu ya Hekima Fc. 

Tazama kwa umakini Bibi na Bwana walivyo pendeza Wamevalia Nguo za kawaida kabisa lakini zenye kiwango cha juu, ukiwatazama hawa wameongezeka uzuri zaidi ni kutokana na haya mavazi yao
 
 Huu ni ubunifu wa Hali ya Juu tazama Nguo ya Kiafrika ikiwa imefanana kabisa na ua ambalo amebeba
 
 Wewe unaesoma hii sasa hivi hii kitu hebu tazama kwanza .. na haujaoa wala kuolewa unangoja nini sasa? hawa jamaa wamependeza sana na mavazi yao ambayo yamebuniwa ki Afrika zaidi
 
 Sio lazima mpaka mvae Shela...
 
 Hii harusi moja kwa moja itakuwa imefungiwa kijijini lakini pia hawa watu wanaonekana ni wa mjini ingawa hapa wamevalia mavazi yao ya asili ya Kiafrika katika Harusi yao.

 Amependeza hajapendeza?
 
 Ukiangalia kwa umakini vazi hili la huyu binti lina mambo mengi sana, kwanza ukitazama hapa lina manyoya ya ndege halafu kisha inapendeza sana hapa akikolezea na hii nyeupe ... hebu rudini jamani ambao hamjaoa wala kuolewa hii ni nafasi yenu
 
 Binti wa Kizungu akiwa ki Afrika zaidi
 
 Sitii neno
 
Hebu watazame hawa kuanzia juu mpaka chini nazani na wewe utapata kitu hapa...
 
 











Hakuna maoni:

Chapisha Maoni