Utambulisho!

Arts and Culture for Youths Organization (ARCUYO) 

ni asasi isiyokuwa ya kiserikali (NGO) ambayo ilianzishwa chini ya sheria ya kanuni ya NGO No.24 ya mwaka 2002 ikiwa chini ya wizara ya maendeleo ya jamii jinsia na watoto mnamo tarehe 03/062014 na kupata usajili Na. 00NGO/00007143.


ARCUYO inashungulika na vijana katika vishawishi wa kujikita na kudumisha sanaa na utamaduni ili kupitia ubunifu, vipaji, na vipawa vyao viwape fursa nahatimaye viwasaidie kujikimu kimaisha na kuwa na uwezo wa kukabiriana na changamoto zinazo wakabili.


Matazamio yetu ni kuona vijana wa kitanzania wanajikwamua kiuchumi, kifikra,kiafya na kielimu.

Mkakati wetu kama ARCUYO ni kuhakikisha mazingira mazuri ya kiuchumi na kijamii kwa vijana yanatimizwa kama yalivyo pangwa.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni